kikosi cha simba kimefika mjini Adis a baba nchini Ethiopia katika uwanja wa kimataifa wa ndege wakitokea Bennin ili kuendelea na safari yao kurud nyumban
ni miongoni mwa wachezaji wenye sura ya upole kijana mdogo lakini mwenye roho ya paka anapokuwa katika dimba na kazi yake huwa ni chafu unaweza usione kazi yake kabisa katika kiwanja timu ikiwa na mpira ila huyu timu inapozidiwa utamuona akitweta jasho juu ya timu yake yes wanamui SADIO KANUT from MALI
Comments
Post a Comment